Usafiri wa Pikipiki ya magurudumu matatau maarufu kama 'Bajaj' umekuwa maarufu sana nchini Tanzania,wakati usalama barabarani ukisisitizwa, Mjini Tunduma,Mbeya, Usafiri huo hubeba abiria sita kwa wakati mmoja,yaani upande wa dereva wanakaa abiria watatu na sehemu ya nyumba wanakaa abiria watatu, kama unavyoona sehemu ya kiti cha dereva kimeongezwa.. Kwa namna hii tutafika kweli na ongezeko hili la ajali?. Nadhani kuna kitu cha kujifunza hapo... |
No comments:
Post a Comment