Mifuko ya Cement ambayo yawezekana kuna mwananchi kaitumia kwa kujenga nyumba yake na hatimaye kuitupa, lakini wananchi hawa wa Kasanga,Mkoani Rukwa,wanaitumia mifuko hiyo kama tanga kwenye ngalawa zao wanapokwenda kuvua katika Ziwa Tanganyika na kujipatia kipato. Laweza kuwepo la kujifunza hapo... |
No comments:
Post a Comment