Kuna wakati ambao ni muhimu kila mwananchi akatunza mazingira,Miundombinu ya mitaro imejengwa vizuri lakini sisi wenyewe wananchi tunaiharibu mitaro hiyo. mfano ni picha hiyo,mwananchi kamaliza kutumia mifuko ya simenti na akaitupa kwenye mtaro, yawezekana mfuko huo wa simenti ukaenda mpaka mwisho wa mataro huo lakini pia inaweza kusababisha mtaro huo ukaziba. Nadhani kuna kitu cha kujifunza hapo.. |
No comments:
Post a Comment