Bustani hii ni mfano wa Meli ya MV Liemba ambayo inafanya safari zake kutoka Kigoma na kupitia katika gati za Kipili, Kasanga mpaka Mpulungu Zambia. Na mashine nyeupe inayoonekana ni mashine inayotumika kushusha nanga ya meli hiyo, ambayo ilibadilishwa na kuwekwa mpya. Aidha Mnyororo uliozunguka bustani iyo ni mnyororo wa kwanza uliokuwa unashikilia nanga ya meli. Bustani hii iko katika Ofisi za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Kigoma. |
No comments:
Post a Comment