Friday, 4 September 2015

Wanyama huku mjini wanatendewa haki kweli?

Abiria wa Pikipiki maarufu kama boda boda akiongea na mwendesha boda boda ili ampeleke anapokwenda kama alivyokutwa leo mchana jijini Dar es Salaam.

Abiria huyo  akipelekewa anapokwenda huku akiwa na mbuzi wake kama alivyokutwa leo mchana katika maeneo.

No comments:

Post a Comment