Ndoo ya uchafu ikiwa imewekwa kwenye mti ili uchafu utupwe ndani lakini katika hali isiyo ya kawaida kuna uchafu unaonekana chini na sio kwamba ndoo imejaa. Yawezekana wakawa ni kunguru ndo walikuwa wakitafuta chakula katika ndoo hiyo ndo wakasababisha uchafu ukawa chini lakini kuna uwezekano pia kuna binadamu nao wametupa uchafu badala ya ndani ya ndoo hiyo.. |
No comments:
Post a Comment