Wakati wananchi mbalimbali wakiwa na njia mbalimbali wanazotumia kusafiria kama bajaj,pikipiki(bodaboda),mabasi,hiace(vipanya),wananchi hawa walikutwa wakisafiria gari la mizigo na wamekaa kwenye tela la gari hilo katika barabara ya Itigi-Uvinza kutoka kijiji kimoja kuelekea kijiji kingine. Gari la mizigo laweza kutumika kwa usafiri lakini sina hakika na usalama wa abiria hao. |
No comments:
Post a Comment