Waweza Jifunza Kitu
Monday, 24 July 2017
Mabasi yenye sehemu za Kuchaji nyuma ya viti VS Mabasi yenye soketi juu ya Madirisha
Soketi za kuchaji Simu zikiwa juu ya madirisha ya moja ya Mabasi yanayofanya Safari zake Mkoani Dodoma-Dar
Tuesday, 4 October 2016
Wafanyabiashara wa chuma chakavu tuisaidie Serikali kuinusuru Miundombonu hii
Mbao za pembeni ya reli zikiwa zimetolewa
Usalama kwanza
Gari la Abiria Makambako, hivi hata kama vyombo husika vimepitiwa hata mmiliki wa gari unaliacha gari lako liwe barabarani kwa namna hii...Usalama ni wa kwetu wote
Wednesday, 24 August 2016
Kuna umuhimu wa asili kutumika hata kwenye vyumba vya Hoteli
Moja ya vyumba vya hoteli moja Mkoani Mbeya,Tanzania
Sunday, 15 May 2016
Usanifu wa Mungu katika Uumbaji
Picha kwa hisani ya Mtandao
Kuna haja ya elimu kwa Umma kutolewa kuhusu hili jambo hili
Mwananchi akiwa amedandia kwenye lori la mafuta
Mwananchi huyo aliyekutwa amedandia lori la mafuta akitoa mafuta kwenye lori hilo lililokuwa limesimama kwenye foleni
Mwananchi huyo aliyekutwa akitoa mafuta kwenye lori akienda zake baada ya kupata mafuta
Monday, 9 May 2016
Tofauti ya mwanafunzi mmoja na mwingine
Nimekutana na wanafunzi hawa wakifanya
Assignments
wakati wanasubiri Pantoni
kuvuka kutokea Dar es Salaam kuelekea Kigamboni Dar es Salaam
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)