Monday, 24 July 2017

Mabasi yenye sehemu za Kuchaji nyuma ya viti VS Mabasi yenye soketi juu ya Madirisha


Soketi za kuchaji Simu zikiwa juu ya madirisha ya moja ya Mabasi yanayofanya Safari zake Mkoani Dodoma-Dar

Tuesday, 4 October 2016

Wafanyabiashara wa chuma chakavu tuisaidie Serikali kuinusuru Miundombonu hii



Mbao za pembeni ya reli zikiwa zimetolewa 

Usalama kwanza

Gari la Abiria Makambako, hivi hata kama vyombo husika vimepitiwa hata mmiliki wa gari unaliacha gari lako liwe barabarani kwa namna hii...Usalama ni wa kwetu wote

Sunday, 15 May 2016

Usanifu wa Mungu katika Uumbaji




Picha kwa hisani ya Mtandao

Kuna haja ya elimu kwa Umma kutolewa kuhusu hili jambo hili

Mwananchi  akiwa amedandia kwenye lori la mafuta

Mwananchi huyo aliyekutwa amedandia lori la mafuta akitoa mafuta kwenye lori hilo lililokuwa limesimama kwenye foleni

Mwananchi huyo aliyekutwa akitoa mafuta kwenye lori akienda zake baada ya kupata mafuta

Monday, 9 May 2016

Tofauti ya mwanafunzi mmoja na mwingine



Nimekutana na wanafunzi hawa wakifanya Assignments wakati wanasubiri Pantoni kuvuka kutokea Dar es Salaam kuelekea Kigamboni Dar es Salaam