Monday, 16 November 2015

Wana HGS wamtukuza Mungu katika Effoti inayoendelea katika Kanisa la Vijibweni Kigamboni

Sehemu ya Waimbaji wa Kundi la HGS wakimtukuza Mungu katika viwanja vya Kanisa la Waadventista Wasabato Vijibweni Jana jioni.