Waweza Jifunza Kitu
Thursday, 10 August 2017
Maliwato
Aina mbili za sehemu ya kujihifadhi katika choo kimoaj, kama zilivyokutwa katika moja ya nyumba za kulala wageni Wilayani Mlele, Mkoani Katavi.
Monday, 24 July 2017
#Hapa kazi Tu
Sehemu ya Maduka Mkoani Ruvuma yakiwa wazi saa 11.45 Alfajiri kama yalivyokutwa
.
Mabasi yenye sehemu za Kuchaji nyuma ya viti VS Mabasi yenye soketi juu ya Madirisha
Soketi za kuchaji Simu zikiwa juu ya madirisha ya moja ya Mabasi yanayofanya Safari zake Mkoani Dodoma-Dar
Tuesday, 4 October 2016
Wafanyabiashara wa chuma chakavu tuisaidie Serikali kuinusuru Miundombonu hii
Mbao za pembeni ya reli zikiwa zimetolewa
Usalama kwanza
Gari la Abiria Makambako, hivi hata kama vyombo husika vimepitiwa hata mmiliki wa gari unaliacha gari lako liwe barabarani kwa namna hii...Usalama ni wa kwetu wote
Wednesday, 24 August 2016
Kuna umuhimu wa asili kutumika hata kwenye vyumba vya Hoteli
Moja ya vyumba vya hoteli moja Mkoani Mbeya,Tanzania
Sunday, 15 May 2016
Usanifu wa Mungu katika Uumbaji
Picha kwa hisani ya Mtandao
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)